
Aliyekutwa na meno ya tembo agonga mwamba Mahakama ya Rufani
Arusha. Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa Omary Said, mkazi wa Morogoro aliyehukumiwa kwa kosa la kukutwa na vipande viwili vya meno ya tembo vyenye thamani ya Dola 15,000 za Marekani. Hii ni rufaa yake ya pili kukwaa kisiki, kwani alipohukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Morogoro, alikata rufaa…