KIBU DENIS YUPO NCHI HII – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba SC kama ilivyoripitiwa awali.   Hii ni baada ya nyota huyo kupokea barua ya mwaliko kutoka klabu ya Kristiansund BK ya Nchini humo kwa ajili ya kufanyiwa majaribio ya Mwezi mmoja kuanzia…

Read More

Sh250 milioni kuwafadhili wanafunzi wenye vipaji

Dar es Salaam. Benki ya Diamond Trust Tanzania Plc (DTB) imetoa msaada wa Sh250 milioni kwa Huduma ya Elimu ya Aga Khan Tanzania (AKES) ili kusaidia ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wanaosomea Mpango wa Diploma ya Kimataifa ya International Baccalaureate (IB). Mpango huo unawalenga wanafunzi wa Kitanzania wenye vipaji, hususan kutoka katika mazingira yasiyo na…

Read More

Chaumma yatoa fomu kwa wagombea ubunge Kilimanjaro

Moshi. Chama cha ukombozi wa umma (Chaumma), Mkoa wa Kilimanjaro kimezindua shughuli ya uchukuaji wa fomu wa nafasi za ubunge na madiwani katika mkoa huo, huku watiania katika majimbo saba kati ya tisa wakichukua fomu hizo za ubunge. Waliochukua fomu za  ubunge ni Gervas Mgonja, Jimbo la Same Magharibi, Grace Kiwelu (Vunjo),  Michael Kilawila (Moshi…

Read More

Nchemba aiangukia Yanga kwa Kagoma 

Mdau wa michezo nchini aliye pia Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amefunguka kwa mara ya kwanza sakata la kiungo Yusuf Kagoma, anayedaiwa kusaini Yanga na baadae kujiunga na Simba. Mwigulu ametumia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kulifafanua sakata la kiungo huyo akiandika: Sakata la Kagoma bado lipo TFF. Nafahamu undani wa suala la Yusuf…

Read More

Hali ilivyo Karimjee mwili wa Mafuru ukiagwa Dar

Dar es Salaam. Waombolezaji wanaendelea kujitokeza kuaga mwili wa aliyekuwa katibu mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru. Mafuru anaagwa leo Alhamisi, Novemba 14, 2024 kwenye viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Katika eneo hilo, waombolezaji wanaingia mmoja mmoja baada ya kukaguliwa kwa mashine getini. Baada ya ukaguzi, wanatakiwa kupitia sanitaiza na barakoa ndipo…

Read More

Compact Energies yashinda tuzo ya huduma bora Afrika

Kampuni ya Compact Energies Limited inayohusika na uzalishaji wa umeme Jua imeshinda tuzo ya makampuni makubwa barani Afrika katika utoaji wa huduma wa sekta ya Nishati katika vipengele vitatu vya, Uhandisi, Manunuzi na Matengeneyo ya Umeme Jua (Engineering, Procurement and Construction Solar Energy Company of the year 2024 in Large Size Category). Tuzo hizo zinazojulikana…

Read More

JKU Princess mabingwa Ligi ya Wanawake Zanzibar

KIKOSI cha JKU Princess, kimeibuka mabingwa wa Ligi Kuu Soka Wanawake Zanzibar (ZWPL) baada ya kuifunga Sauti Sisters mabao 2-0. Wakati JKU Princess ikiwa bingwa wa ligi hiyo iliyoshirikisha timu nne, Warriors Queens imemaliza ligi hiyo bila kuvuna pointi hata moja. Ligi hiyo imetamatika Alhamisi ya Julai 10, 2025 ulipochezwa mchezo huo ulioipa ubingwa JKU…

Read More