
Wakenya kuandamana tena kesho, waliouawa wafikia 13
Nairobi. Waandaaji wa maandamano nchini Kenya wametoa wito wa maandamano mapya ya amani kupinga ongezeko la kodi, huku idadi ya waliofariki dunia kutokana na maandamano ya nchi nzima ikiongezeka hadi 13, ofisa kutoka chama kikuu cha madaktari ameiambia AFP. Maandamano hayo yanayoongozwa na vijana yalianza kwa amani wiki iliyopita, huku maelfu ya watu wakiandamana kote…