
Vituo vya msaada kisheria vilivyosaidia jamii kupata haki
Unguja. Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Ibrahim Mzee Ibrahim amewataka wanajamii kuvitumia vituo vya msaada wa kisheria katika maeneo yao kupunguza gharama na kufuata huduma masafa marefu. Akifungua kongamano la vyuo vikuu kuhusu msaada wa kisheria lililofanyika Tunguu, Zanzibar leo Juni 26, 2024, Jaji Ibrahim amesema lengo la Serikali kuanzisha vituo hivyo ni kuondoa…