
Bodi kuikata Yanga faini ya Gamondi
WAKATI maswali yakiibuka juu ya hatma ya kifungo cha aliyekuwa kocha wa Yanga, Miguel Gamondi pamoja na faini aliyotozwa na Bodi ya Ligi Tanzania, ambapo chombo hicho kimetoa ufafanuzi kikisema Yanga ndiyo itakayowajibika kumlipia faini. Gamondi amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini Sh2 milioni kwa kosa la kumsukuma na kumuangusha chini kocha wa viungo wa…