
TETESI ZA USAJILI BONGO: Ibrahim Abraham awindwa Pamba Jiji
BAADA ya kutangaza kuachana na mastaa wao walioipandisha timu hiyo, uongozi wa Pamba Jiji FC unawinda saini ya Ibrahim Abraham. Beki huyo wa kushoto wa Tanzania Prisons ambaye anamudu kucheza nafasi tatu uwanjani yupo kwenye hatua nzuri za kukamilisha dili hilo kwa mkataba wa miaka miwili.Charity James BEKI wa kati, Ismail Mgunda aliyemaliza mkataba na…