KILELE CHA DAMU SALAMA – MICHUZI BLOG

Na Khadija Kalili , Michuzi Tv HOSPITALI ya Rufaa Tumbi Mkoa wa Pwani imekusanya lita 300 za damu katika wiki mbili za maadhimisho ya miaka 20 ya uchangiaji damu duniani ambapo ina kauli mbiu isemayo okoa maisha changia damu. Hayo yamesemwa leo Juni 14 na Kaimu Mganga Mkuu Kuu wa Mkoa wa Pwani Dkt. Erica…

Read More

Waandishi 17 wa Mwananchi kuwania tuzo za Ejat

Dar es Salaam. Waandishi 17 wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) ni miongoni mwa wateule 72 watakaowania tuzo za umahiri za uandishi wa Habari (Ejat) zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Kati ya waandishi 72 watakaoshiriki kinyang’anyiro hicho Septemba 28, 2024 wanaume ni 45, sawa na asilimia 62.5 na wanawake ni 27 sawa…

Read More

Yanga yampa ulaji Cheickna Diakite

NYOTA mpya wa Azam FC raia wa Mali, Cheickna Diakite amesema wazi kwamba huenda mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ulioikutanisha timu aliyokuwa akiichezea ya AS Real Bamako dhidi ya Yanga msimu wa 2022–2023, ndiyo iliyomfanya atue nchini kukipiga kwa matajiri hao wa Chamazi. Winga huyo aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu alisema, wakati timu…

Read More

COSOTA WAISHUKURU MAHAKAMA, KESI KWENDA VIZURI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Usuluhishi Tanzania (COSOTA), Dorine Sinare akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kongamano la mafunzo wa Wadau wa mahakama na wengine kuhusiana na Hati miliki na alama za biashara kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Saalaam. OFISI ya…

Read More

Wadau watofautiana wahitimu elimu ya juu, kwenda Veta

Dar es Salaam. Mjadala wa wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kupata ujuzi vyuo vya ufundi stadi (Veta) bado haujapoa. Wadau mbalimbali wameuendelea wakichambua kwa mitazamo tofauti. Msingi wa mjadala huo ni ushauri alioutoa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha umuhimu wa wahitimu wa vyuo vikuu wakiwamo wenye shahada kwenda kujiunga Veta kusoma ujuzi. Mwanzoni mwa wiki…

Read More

Mpango tata wa kutoa chango kwa mifugo Kenya kuanza Januari – DW – 19.12.2024

Hata hivyo, mjadala kuhusu utekelezaji wa zoezi hilo umeibua hisia kali, huku baadhi ya madaktari wa mifugo na wafugaji wakipendekeza usitishwe, kutokana na wasiwasi kuhusu uingiliaji wa wanasiasa, ulioathiri imani ya wananchi kwa zoezi hilo.  Waziri wa Kilimo na Mifugo nchini Kenya, Dakta Andrew Karanja, ametangaza kuwa mpango wa kuwachanja mifugo utazinduliwa kama ilivyopangwa mapema…

Read More

Mbinu ya kubaini bidhaa bandia yatajwa

Dar es Salaam.  Wakati Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) ikiendelea kupambana na bidhaa bandia, imetaja mbinu ya kuzibaini huku ikiwataka wafanyabiashara wauze bidhaa halisi kwa kuwa hazina ushindani na zile bandia. Hayo yamebainishwa leo Jumatano Julai 17 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani Tanzania (FCC), William Erio wakati akizungumza na waandishi wa habari…

Read More