
Miundombinu yatajwa kiungo muhimu cha biashara Afrika
Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema ili kufika malengo ya ajenda ya 2063 ya nchi wanachama wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA), mataifa hayo hayana budi kuboresha miundombinu ya barabara, bandari na viwanja vya ndege kurahisha usafiri na usafirishaji wa biashara. Hemed amesema hayo Juni 25, 2024 alipofungua…