
Makinda JKT wamkosha Chabruma | Mwanaspoti
KOCHA wa JKT Queens, Esta Chabruma amesema amekoshwa na viwango vinavyoonyeshwa na wachezaji wachanga akimtaja Christer Basil. Ikumbukwe JKT yenye viongozi wazawa na inaongozwa na benchi la ufundi wazawa na imesajili wachezaji wote wazawa. Utaratibu wa JKT wanasajili mabinti wadogo ambao asilimia kubwa wanawatoa kwenye mashindano ya ligi za mkoa na kisha kuwatengeneza na wakipata…