TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO
Na Saidina Msangi,WF, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Norway umefanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii ikiwemo miradi ya elimu, usambazaji wa umeme vijijini yenye thamani zaidi ya sh. bilioni 188. Dkt. Nchemba alibainisha hayo Jijini Dodoma, alipokutana na kufanya mazungumzo…