
Muasisi wa WikiLeaks hatimae aondoka London alikokuwa jela. – DW – 25.06.2024
Mwasisi wa mtandao wa WikiLeaks, uliotumika kufichuwa siri kubwa kubwa za serikali za mataifa mbali mbali duniani, Julian Assange hatimae ameachiwa huru kwa dhamana, Jumatatu. Assange aliachiwa huru kwa dhamana kutoka jela yenye ulinzi mkali ya Kusini Mashariki mwa London jana Jumatatu. Mkewe Stella Assange akionekana kushusha pumzi alisema hivi sasa mumewe ni mtu huru, …