Cholera inazidi ulimwenguni, sasisho la DR Kongo, ambaye anaongoza mazoezi ya dharura ya afya ulimwenguni – maswala ya ulimwengu

Shirika la Afya la UN lilisajili karibu kesi 810,000 na vifo 5,900 kutoka kwa ugonjwa unaoweza kuepukwa mnamo 2024; Hiyo ni asilimia 50 ya juu kuliko mwaka uliopita, kulingana na Dk Philippe Barboza, ambaye anaongoza WHOTimu ya Cholera. Alisema kesi za hivi karibuni zilizoripotiwa ni za karibu kabisa na kwamba ugonjwa unaendelea kuathiri nchi ambazo…

Read More

Mshahara mpya wa Azizi Ki kufuru tupu

DILI la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI, kwenda Wydad Casablanca ya Morocco, limezidi kuutunisha mfuko wake kutokana na kile ambacho atakuwa akilipwa kwa mwezi. Nyota huyo raia wa Burkina Faso, anakwenda kujiunga na Wydad baada ya kukitumikia kikosi cha Yanga kwa mafanikio makubwa katika misimu mitatu, tangu Julai 15, 2022. Kitendo cha Aziz…

Read More

Zelensky asema serikali yake inahitaji “nguvu mpya” – DW – 04.09.2024

Mpango wa Rais Zelensky kutaka kufanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri, umesababisha mawaziri kadhaa kujiuzulu. Kufikia sasa jumla ya mawaziri sita, akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje Dmytro Kuleba, naibu waziri anayeshughulikia masuala ya ushirikiano wa Ulaya, waziri wa viwanda anayesimamia uzalishaji wa silaha Ukraine na wengine wawili, waliwasilisha maombi ya kujiuzulu na bunge…

Read More

Fadlu Davids arithi mikoba ya Benchikha Simba SC

Kocha Fadlu Davids ametangazwa kuwa kocha mkuu wa Simba SC, baada ya kufikia makubaliano na uongozi wa klabu hiyo. Kocha huyo raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 43 amesaini mkataba wa miaka miwili kukinoa kikosi cha Simba SC. Kabla ya kujiunga na Simba SC, Fadlu alikuwa kocha Msaidizi wa mabingwa wa soka nchini…

Read More

Neema, Vicky wafichua kinachowabeba | Mwanaspoti

Mchezaji wa timu ya taifa ya gofu wanawake, Neema Olomi ameiita michuano ya Lina PG Tour ni ‘tanua mbavu’ kwa wacheza gofu wanawake kwani inawalazimisha kutumia ujuzi na maarifa zaidi ili kufanya vizuri. Olomi na mchezaji mwenzake Vicky Elias wamesema mjini Moshi jana kuwa ugumu huu ndiyo siri ya wao kufanya vizuri katika mashindano makubwa…

Read More

BENKI YA STANBIC TANZANIA NA GAIN WAZINDUA PROGRAMU YA KIKUNDI CHA SABA CHA MAENDELEO YA BIASHARA KITAIFA KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI WADOGO NA KATI (SMEs)

• Stanbic na GAIN wanaungana kuongeza mchango wa SME katika sekta ya chakula ili kuboresha upatikanaji wa lishe bora nchini Tanzania.• Programu inalenga kuboresha biashara zinazoongozwa na wanawake kwa kuwapa ujuzi katika usimamizi wa zabuni, uboreshaji wa bidhaa, usalama wa chakula, na mbinu za masoko.• Uzinduzi huu unaendana na dhamira ya Stanbic ya kukuza maendeleo…

Read More

TANZANIA,USWISI KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA ELIMU YA AMALI,UTAFITI NA UBUNIFU

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Novemba 20, 2024 amekutana na Waziri wa Elimu, Utafiti na Ubunifu, wa Uswisi Bi. Martina Hirayama ambapo wamezungumzia ushirikiano katika masuala ya elimu ya amali, utafiti na ubunifu  Waziri Mkenda amesema kuwa Serikali imejizatiti kutekeleza mageuzi yanayolenga kutoa elimu ujuzi ili kuwezesha Taifa kupata wahitimu…

Read More