
Kule NBA… Wembanyama ni mrefu, halafu kiatu chake balaa
NEW YORK, MAREKANI : LIGI ya Kikapu Marekani (NBA) ni maarufu na ndiyo mchezo wenye wachezaji wengi mabilionea duniani kuliko yote. Hii ni ligi ya watu wenye pesa zao. Kipato cha chini kwa mchezaji kwa mwaka ni takriban Dola 10 milioni ambacho anavuta supastaa Victor Wembanyama ‘Wemby’ anayeichezea San Antonio Spurs. Hata hivyo, Wembanyama ambaye…