
JIWE LA SIKU: Sakata la Lawi ni ‘soka letu kivyetu vyetu’
MJADALA mkubwa wiki iliyopita ulikuwa ni wa sakata la beki wa kati, Lameck Lawi kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni usajili wa kwanza kwa timu hiyo kwa ajili ya kuongeza nguvu wakati wa mashindano mbalimbali msimu ujao. Nyota huyo aliyeonyesha kiwango bora, amesajiliwa akitokea Coastal Union ya jijini Tanga ingawa baada tu…