
REA YATOA ELIMU MATUMIZI MAJIKO BANIFU MSOMERA
Mhandisi Mwandamizi kutoka Kitengo cha Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala cha Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Deusdedit Malulu akitoa elimu juu ya matumizi ya majiko banifu kwa Wanakijiji wa Kijiji cha Msomera, Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, leo Mei 16. Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na REA pamoja na Taifa Gas wanatarajiwa kutoa majiko banifu…