
SIKU YA YOGA KIMATAIFA YAFANYIKA DAR,WIZARA KUJA NA PROGRAMU MAALUM KUHAMASISHA MAZOEZI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV SIKU ya Kimataifa ya Yoga imefanyika nchini Tanzania kwa mwaka wa awamu ya 10(miaka 10) ambapo maelfu ya wananchi wakiwemo wenye asili ya India wameshiriki siku hiyo ambayo kwa Dar es Salaam imefanyika Viwanja vya Gymkana. Mgeni rasmi katika Siku ya Yoga Kimataifa alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni,Sanaa na…