
TETESI ZA USAJILI BONGO: Simba SC yahamia kwa Idumba Fasika
UONGOZI wa Simba unafuatilia kwa ukaribu huduma ya beki wa kati wa kimataifa wa DR Congo, Nathan Idumba Fasika anayechezea Klabu ya Valerenga ya Norway. Fasika anayeichezea Valerenga kwa mkopo akitokea Cape Town City ya Afrika Kusini, inaelezwa kwamba tayari mabosi wa Simba wanafukuzia saini yake huku wakiamini kwamba atakuwa ni mbadala sahihi wa beki…