
Ishu ya straika Simba giza nene, ndugu wafunguka
UNAKWENDA mwezi wa tatu sasa bila ya wapenzi na mashabiki wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini (WPL), kumshuhudia uwanjani aliyekuwa kinara wa mabao msimu uliopita, Aisha Mnunka wa Simba Queens. Agosti Mosi, mwaka huu, Mwanaspoti iliripoti kuwa nyota huyo wa timu ya taifa (Twiga Stars) ametoroka kambini ikiwa ni siku chache tangu atoke kwenye majukumu…