Zaidi ya nusu ya wanawake Kinondoni wanajichubua

Dar es Salaam. Imebainika kuwa zaidi ya nusu wa wanawake  waliopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam wanatumia vipodozi vya kujichubua. Hali hiyo imebainika kupitia tafiti iliyofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) ambayo imeonyesha asilimia 54.5 ya wanawake hao wanatumia vipodozi hivyo, ili wawe weupe. Utafiti huo umebaini wengi wao…

Read More

Serikali yasitisha ukaguzi EFD kwa wafanyabiashara Kariakoo

Dodoma. Serikali imesitisha kazi ya ukaguzi wa risiti za kielektroniki (EFD) na ritani za kodi  iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, jijini  Dar es Salaam, wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo katika Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Juni 24,…

Read More

Dar City inavyorejea BDL | Mwanaspoti

WAKATI baadhi ya timu za kikapu za Mkoa wa Dar es Salaam zikiwa kwenye mapumziko ya Ligi ya Kikapu mkoani humo (BDL) ili kupisha mashindano ya Kombe la taifa, timu ya Dar City inaendelea na mazoezi katika uwanja  wa Osterbay kujifua kwa ajili ya mzunguko wa pili. Dar City ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi…

Read More

‘Nguvu zielekezwe kuzuia ajali za majini’

Bagamoyo. Wakati vyombo vya dola nchini Tanzania vikiweka mikakati kupunguza ajali za barabarani, jitihada kama hizo zimeshauriwa zielekezwe kwenye usafiri wa majini. Hali hiyo inatokana na ajali mathalani za Mv Bukoba, Mv Nyerere, Spice Islander zilizosababisha vifo na majeruhi, chanzo kikielezwa ni matatizo binafsi ya mabaharia na huenda zingeepukika kama hatua zingechukuliwa. Hayo yamesemwa leo…

Read More

Serikali kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema serikali inaendelea kushirikiana na viongozi wa dini kuhakikisha suala la maadili nchini. Jana, Chalamila alikua mgeni rasmi akimwakikisha Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, katika Ibada ya Maadhimisho ya Miaka 90 ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano, Upanga jijini Dar es Salaam. Alilitaka kanisa hilo kuendelea kujitafakari…

Read More

Cheki ‘SUB’ ya kadi nyekundu kikapu

KATIKA kila mchezo kuna raha yake kwa mashabiki na hata wachezaji. Lakini, linapokuja suala la wachezaji kuingia mchezoni kutokea benchi (sub), kwenye kikapu kuna maajabu zaidi kwani mchezo yeyote anaweza kuingia uwanjani ili mradi tu awe katika benchi la nyota wa akiba. Kwenye soka na michezo mingine mingi, mchezaji anapopewa kadi nyekundu sheria za michezo…

Read More

RC Mtambi aagiza wenye ulemavu watambuliwe, wapewe mikopo

Rorya. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Evans Mtambi amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo kuwatambua na kuwezesha uanzishwaji wa vikundi vya watu wenye ulemavu katika wilaya zao. Pia amewataka kusimamia usajili wa vikundi hivyo, ili viwezeshwe kiuchumi. Mtambi ametoa maagizo hayo leo Jumatatu, Juni 23, 2024, alipofunga mafunzo ya ujasiriamali…

Read More

ACI Financial Markets Association of Tanzania Strengthens Stakeholder Engagement and Collaboration

  By special correspondent,Dar es Salaam. The ACI Financial Markets Association of Tanzania has affirmed its commitment to strengthening stakeholder engagement and fostering a collaborative environment within the financial markets arena. Speaking in Dar es Salaam during the association’s leadership team strategic meeting at the weekend, marking the charter’s first 100 days in office, ACI FMA…

Read More