
Damaro aitaka michuano ya kimataifa
KIUNGO wa Singida Black Stars, Mohamed Damaro,22, anaamini klabu yake ina nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao, hasa Kombe la Shirikisho Afrika, endapo watamaliza nafasi ya pili au tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara. Kabla ya mechi yao dhidi ya Azam FC (iliyochezwa jana), Singida Black Stars ilikuwa nafasi ya nne…