
Luis, Chama kama muvi Simba
KLABU ya Simba imeachana rasmi na aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo raia wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone baada ya kutoridhishwa na kiwango chake tangu aliporejea ndani ya kikosi hicho cha Msimbazi akitokea Al Ahly ya Misri. Kwa mara ya kwanza Luis alijiunga na Simba Januari mwaka 2020 akitokea UD Songo ya Msumbiji kwa mkopo…