
Huku Championship mambo hayapoi, kinapigwa tena leo
UHONDO wa Ligi ya Championship unaingia mzunguko wa 17, wikiendi hii na baada ya jana kuchezwa michezo mitatu kwenye viwanja tofauti, leo itapigwa mingine mitatu kuwania pointi tatu. Mchezo wa mapema utapigwa saa 8:00 mchana kwenye kituo cha michezo cha TFF Tanga na African Sports iliyoichapa mabao 2-1, Cosmopolitan mechi ya mwisho, itawakaribisha Maafande wa…