T: Sh10.5 bilioni kupiga jeki ajira sekta ya uvuvi

Mwanza. Ili kukabiliana na changamoto ya ajira nchini, Serikali kupitia Wizara ya Uvuvi na Mifugo, imetenga Sh10.5 bilioni kwa ajili ya kuwezesha mitaji na miradi ya vijana. Kauli hiyo imetolewa leo Mei 24, 2024 na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi kwenye hafla ya kufunga mafunzo kwa…

Read More

Vodacom kuwapa fursa za ajira kwa vijana milioni 1 Afrika

Dar es Salaam.  Kampuni ya Vodacom barani Afrika (Vodacom Group) limejiunga na watoa huduma wa teknolojia ili kutengeneza fursa kwa vijana barani humo kupitia ujuzi wa kidijitali kama sehemu ya ahadi yake ya kukuza ujuzi wa kidijitali kwa kizazi kijacho cha Afrika. Kwa kushirikiana na (Amazon Web Services) AWS, Microsoft, Skillsoft na mashirika mengine, Vodacom…

Read More

WAZIRI WA KILIMO AFANYA ZIARA, AKAGUA MAGHALA YA NFRA

WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amefanya ziara ya ukaguzi katika maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) yaliyopo eneo la Mazwi, Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa tarehe 16 Julai 2024.  Katika ziara hiyo, Bw. Marwa Range, Meneja wa Kanda ya Sumbawanga – NFRA alieleza kuwa uwezo wa kuhifadhi nafaka za mahindi…

Read More

Mambo yanayoathiri afya | Mwananchi

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa, baadhi ya mambo unayofanya au usiyoyafanya kila siku, yanaweza kuzuia jitihada zako za kuwa na afya bora. Wakizungumza leo Jumatatu Julai 21, 2025 kwa nyakati tofauti wataalamu wa afya wamesema kutosamehe na kutosahau vinachangia magonjwa, changamoto za afya ya akili na matukio ya ukatili ikiwamo kuua na kujiua. Daktari bingwa…

Read More