RC Chalamila apiga ‘biti’ mgomo Kariakoo

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wafanyabishara waliofungua maduka yao leo Jumatatu Juni 24, 2024, licha ya kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wafanyabishara, atalinda biashara zao na hawatafanyiwa vurugu. RC Chalamila amesema atakayejaribu kuwafanyia vurugu wafanyabiashara waliofunga maduka yao, atashughulika naye. “Nataka niwathibitishie yule atakayemletea mkwara aliyekubali…

Read More

Wajane walia na Mila potofu za kuwakandamiza

Mkuu wa mkoa Morogoro Adam Malima amesema serikali itaendelea kulinda na kutetea haki za wajane Ili waendele kulea familia zao. Rc Malima ameyasema hayo Mjini Morogoro kwenye maadhimisho ya Siku ya wajane Duniani ambapo kitaifa yameadhimishwa Mkoani Morogoro ambapo amesema kumekua na tabia ya baadhi ya watu kuchukua Mali pamoja na kuwafukuza wanawake kinguvu baada…

Read More

Mzambia kunogesha mbio za magari Tanga

DEREVA muongozaji (navigator) kutoka Zambia, David Sihoka ni mmoja wa magwiji wa mbio za magari  wa daraja la juu barani Afrika wanaotegemewa kunogesha mashindano ya mbio za magari ya Advent yatakayofanyika jijini Tanga katikati ya mwezi ujao. Sihoka, amekuwa akimuongoza dereva Muna Singh wa Zambia kwa zaidi ya muongo mmoja sasa, safari hii atakuwa na…

Read More

Sakata la mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo laibuka bungeni

Dodoma. Sakata la mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, jijini Dar es Salaam limeibuka bungeni, huku Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu akisema Serikali itatoa taarifa baada ya kikao kati yake na kamati ya wafanyabiashara kukamilika. Sakata hilo limeibuka leo Jumatatu Juni 24,2024 bungeni jijini Dodoma baada ya Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma kuomba mwongozo…

Read More

Wafanyabiashara Kariakoo wamgomea Chalamila, wafunga maduka

LICHA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kuwataka wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kuepuka kushiriki mgomo uliovuma kuanza leo, hali katika soko hilo imeonesha wafanyabiashara hao wamegomea agizo hilo na kufunga maduka. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya kusambaa kwa vipeperushi katika mitandao ya kijamii…

Read More

Hatua kwa hatua kinachoendelea mgomo wa Kariakoo

Dar es Salaam. Wafanyabiashara katika soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam wamegoma kufungua maduka yao leo Jumatatu, Juni 24, 2024 ikiwa ni mgomo uliotangazwa kufanyika. Taarifa ya mgomo huo usio na kikomo zilianza kujulikana kupitia mitandao ya kijamii, baada ya kusambaa kwa vipeperushi vilivyowataka wafanyabiashara kutofungua maduka hayo kuanzia leo. Licha ya viongozi wa…

Read More