
Mbeya City yashtuka, kumkalia kikao Mayanga
Baada ya kumalizika kwa Championship, uongozi wa Mbeya City umekiri kutofikia malengo ukiahidi kujipanga upya kwa ajili ya msimu ujao, huku ishu ya benchi la ufundi ikisubiri kikao cha bodi. City iliyoshuka daraja msimu wa 2022/23, imemaliza Championship nafasi ya sita kwa pointi 37, huku ikiongozwa na Salum Mayanga ambapo matarajio yao yalikuwa ni kurejea…