Dharau yaiponza Tausi Royals Ligi ya Kikapu Dar
KUJIAMINI kulikofanywa na timu ya Tausi Royals, katika Ligi ya Kikapu mkoa wa Dar es Salaam (WBDL) ndiko kulikoifanya timu hiyo ishindwe kucheza nusu fainali ya Ligi hiyo. Timu ya Tausi Royals ilifungwa na DB Troncatti katika michezo 2-1. Sababu iliyofanya ijiamini hivyo, ilionyesha ni kutokana na uwezo wa wachezaji walionao, na huku timu ya…