
CCM watofautiana Mwinyi kuongezewa muda wa urais
Dar es Salaam. Wakati Sekretarieti ya Kamati Maalumu ya CCM, Zanzibar ikipitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais Hussein Mwinyi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala amesema jambo hilo halipo. Jana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Dk Mohamed Dimwa aliweka wazi nia ya kumwongezea…