Kilichoibeba Kriketi U19 | Mwanaspoti

MPANGO wa muda mrefu wa kuupeleka mchezo wa kriketi katika shule za msingi na sekondari nchi nzima ndiyo siri ya ushindi wa timu ya vijana wa chini ya miaka 19 katika michezo ya kufuzu Kombe la Kunia iliyomalizika jijini hivi karibuni. Tofauti na miaka ya nyuma, kriketi hivi sasa inachezwa na vijana wa shuleni karibu…

Read More

Cheki namba za Yanga zilivyoitesa Simba

ACHANA na Simba kukosa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2021/22, 2022/23 na msimu huu, lakini wana Msimbazi wamepitia nyakati ngumu zaidi kuanzia pointi hadi mabao ya kufunga mbele ya mabingwa, Yanga huku namba na ufanisi uwanjani pia vikiwa mtihani kwa Simba. Yanga imetwaa taji la 30 na la tatu mfululizo msimu…

Read More

Trump, Iraq watangaza kumuua kiongozi wa Islamic State

Baghdad. Idara ya Ujasusi ya Iraq kwa kushirikiana na majeshi ya Muungano yanayoongozwa na Marekani imeendesha operesheni iliyofanikisha kuuawa kwa kiongozi wa kundi la Islamic State (ISIS) nchini Iraq na Syria. Taarifa ya kuuawa kwa Abdallah Maki Mosleh al-Rifai, maarufu kama “Abu Khadija,” imetangazwa jana Ijumaa Machi 14,2025, na Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammed Shia…

Read More