
Mwinzani: Mtashangaa NCBA, Lugalo Open
CHIPUKIZI wa mchezo wa gofu, Julius Mwinzani wa klabu ya Dar es Salaam Gymkhana, anasema atakuja kuwashangaza wengi katika mashindano ya mchezo huo ya NCBA, Lugalo Open na Lina Tour kwa jinsi alivyopania kama alivyokuwa amejipanga kwa Morogoro. Mchezaji huyo anayechezea timu ya taifa ya vijana U18, alisema hayo baada ya kushika nafasi ya tatu…