Serikali Yaweka Mkazo Katika Kujenga Uwezo wa Viongozi wa Mitaa kwa Ufanisi wa Miradi ya Maendeleo

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Imeelezwa kuwa na viongozi wa serikali za mitaa wenye ufanisi mkubwa na uadilifu mkubwa katika utendaji wa kutumia rasilimali zilizopo kuongoza jamii itasaidia nchi kuwa na ufanisi mkubwa sana katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe, Festo Dugange wakati alipomuwakilisha Waziri…

Read More

Viwango vya msaada wa chakula vya Gaza katika 'hatua mbaya' – Masuala ya Ulimwenguni

Njia za misaada muhimu kaskazini mwa Gaza zimekatishwa, na hakuna msaada wa chakula ambao umeingia huko tangu Oktoba 1, alisema Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq, akinukuu taarifa kutoka Mpango wa Chakula Duniani (World Food Progamme).WFP) Vivuko vikuu kuelekea kaskazini vimefungwa na havitafikika ikiwa ongezeko la sasa litaendelea, aliongeza. WFP ilisambaza akiba yake…

Read More

Mbinu Mpya Zinahitajika Haraka Ili Kukabiliana na Migogoro ya Kijamii Huku Huzuka Tena – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni by Jomo Kwame Sundaram (kuala lumpur, Malaysia) Alhamisi, Desemba 05, 2024 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Des 05 (IPS) – Licha ya kuimarika kwa uchumi usio sawa tangu janga hilo, umaskini, kukosekana kwa usawa, na uhaba wa chakula unaendelea kuwa mbaya zaidi, ikiwa ni pamoja na eneo la Asia-Pacific, ambalo lilikuwa na maisha…

Read More

KenGold yaipeleka Simba Ruvuma

KENGOLD iliyoshuka mapema hadi Championship kutoka Ligi Kuu Bara iliyoicheza kwa mara ya kwanza msimu huu, imepanga kuipeleka mechi dhidi ya Simba iliyopangwa kupigwa Juni 18 Uwanja wa Majimaji, Songea, mkoani Ruvuma, endapo taratibu za ukaguzi uwanjani hapo zitakamilika mapema.

Read More

Mapito ya Komu na tafsiri ya kisiasa

Dar es Salaam. Mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na kada wa zamani wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Anthony Komu, ametangaza kurejea rasmi katika chama chake cha awali, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Akizungumza baada ya kujiunga tena na chama hicho, Komu amesema anaamini mwelekeo wa sasa wa Chadema wa kurudi kwa wananchi ni sahihi na unaotia…

Read More

Dk Nchimbi atoa maagizo kupunguza tatizo la ajira Tanzania

Manyoni. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amezitaka halmashauri zote nchini kuwatambua vijana wasomi kwenye maeneo yao na kuwashirikisha kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo. Mbali na kuwatambua, wawaunganishe kwenye vikundi kutokana na taaluma zao kisha  wawapatie mikopo wanayoitoa ya asilimia 10 kwa ajili  ya wanawake, wenye ulemavu na vijana ili wazitumie…

Read More

Makundi maalumu yakumbukwa kwenye sekta ya madini

Dodoma. Serikali imeweka mkakati wa kila eneo litakalokuwa na mgodi mpya wa uchimbaji madini, litenge sehemu maalumu kwa ajili ya kuwapatia wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 24, 2025 na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Ali Samaje wakati akifungua semina ya mafunzo kwa wanawake wachimbaji wadogo ambayo inalenga…

Read More