
KAMATI ZA MAAFA WILAYA ZATAKIWA KUWEKA MIPANGO YA DHARULA
Na Mwandishi wetu-SIMIYU Serikali imezitaka Kamati za Usimamizi wa Maafa Ngazi ya Wilaya kuhakikisha zinajiandaa kikamilifu na kuweka mpango wa dharula wa utendaji na uratibu wa mawasiliano katika kukabiliana na maafa kwenye maeneo yao. Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga, wakati akifungua mafunzo kwa…