
Prisons Queens matumaini kibao Ligi ya Mabingwa
TANZANIA Prisons Queens imesema mechi mbili zilizobaki katika ligi ya mabingwa wa Mikoa kwa soka la Wanawake wanahitaji ushindi tu ili kujihakikishia kupanda daraja. Ligi hiyo ambayo inafanyika jijini Dodoma, Maafande hao katika mechi mbili walizocheza wameshinda mmoja dhidi ya Zabibu Queens 2-1 na kupoteza 3-1 kwa Katoro Queens na kuwa nafasi ya pili. “Mechi…