Majanga kwa Elon Musk, utajiri wake waporomoka

New York, Marekani. Bilionea namba moja duniani Elon Musk amepoteza zaidi ya Dola za Marekani bilioni 12 (zaidi ya Sh29 trilioni za Kitanzania) ndani ya saa 24, baada ya kampuni yake ya magari ya umeme, Tesla, kutangaza kushuka kwa mapato yake kwa kiwango cha kihistoria. Ripoti ya fedha ya robo ya pili ya mwaka 2025…

Read More

Wizara yaombwa kuchunguza ubora wa maabara za udongo

Geita. Wizara ya Madini imeombwa kuchunguza ubora wa maabara za sampuli za udongo unaosadikiwa kuwa na dhahabu kutokana na baadhi  kutoa majibu yasiyoendana na uhalisia, hivyo kuwasababishia wachimbaji hasara ya mamilioni ya fedha.  Pia, imeombwa kuwafungia watu wanaojitambulisha kuwa ni wajiolojia na kupewa maeneo ya kutafiti kisha kutoa majibu ya uongo huku wakijipatia fedha kwa…

Read More

MBIO ZA MSAKUZI PANDE GAME RESERVE ZAZINDULIWA RASMI

……………….. 📍Utalii wa michezo wahamasishwa Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Msakuzi Sports Promotion leo Julai 12,2025, imezindua rasmi msimu wa kwanza wa  mbio za riadha zinazojulikana kama “Msakuzi Pande Game Reserve Marathon” zilizofanyika katika Hifadhi ya Pande iliyopo jijini Dar es Salaam. Akizungumza kwa…

Read More

DPP amfutia mmoja kesi ya kusafirisha kilo 58.62 za heroini

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru, Paulina Mwanga (38), aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini zenye uzito wa kilo 58.62 Mshtakiwa huyo amefutiwa kesi hiyo, leo Jumatatu Agosti 12, 2024, baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DDP), kuieleza Mahakama hiyo kuwa…

Read More

TAMWA na TCRA waandaa tuzo ‘Samia Kalamu Awards’

-Katika kuchochea uandishi wa habari za maendeleo Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameandaa Tuzo ya Samia Kalamu ‘Samia Kalamu Awads ‘ kwa Waandishi wa habari kuandika habari za maendeleo katika nyanja mbalimbali. Kauli mbiu ya Tuzo hizo ni Uzalendo ndio…

Read More