
JESHI LA POLISI LATOA TAMKO KUHUSU TAARIFA INAYOSAMBAA YA KUFUNGWA KWA BIASHARA KARIAKOO
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Nchini limesema kuwa tangu Juni 22, 2024 kupitia baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kulionekana tangazo linalosambazwa lenye kichwa cha habari kilichosomeka “KUFUNGA BIASHARA ZETU”. Akitoa taarifa hiyo leo jijini Arusha Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu kamishna wa Polisi…