
‘Shule maalumu za sayansi za wasichana 26 hazina maabara’
Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wamebaini uwepo wa shule zinazofundisha masomo ya sayansi zisizo na maabara, huku zikiwa zimedahili wanafunzi ambao baadhi watafanya mitihani ya miwisho Mei 2025. Hayo yamesemwa leo Jumatano Aprili 16, 2025 na mwenyekiti wa kamati hiyo, Justin Nyamoga wakati akisoma maoni ya…