
Idadi ya wanaojua kusoma yaongezeka Tanzania
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amebainisha maeneo manne yaliyoonyesha matokeo chanya katika ripoti ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, ikiwemo ongezeko la idadi ya watu wanaojua kusoma na kuandika kufikia asilimia 83. Idadi hiyo imeongezeka kutoka asilimia 78 ya mwaka 2012 kama ilivyoonyeshwa kwenye ripoti ya sensa ya…