Bakita kuongoza maadhimisho Wiki ya Kiswahili

Dar es Salaam. Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) linatarajiwa kuadhimisha juma la Kiswahili ambalo litaangazia fursa za maendeleo ya lugha hiyo duniani. Wanazuoni na wageni kutoka nje wanatarajiwa kueleza namna wanavyojifunza Kiswahili. Bakita limetenga siku sita kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Kiswahili yanayobebwa na kaulimbiu ‘Fursa za maendeleo ya kugha ya Kiswahili.’ Maadhimisho…

Read More

Kesi ya unyang’anyi inayowakabili waliokuwa askari polisi yakwama Kisutu

Dar es Salaam. Serikali imeshindwa kuendelea na usikilizwaji katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kuiba Sh90 milioni inayowakabili watu watano wakiwamo waliokuwa askari polisi, kutokana na mshtakiwa mmoja kutokuwepo mahakamani. Kesi hiyo imeshindwa kuendelea kutokana na mshtakiwa wa tatu, Stella Mashaka kutoletwa mahakamani akitokea mahabusu Segerea, jijini Dar es Salaam. Washtakiwa katika kesi…

Read More

CILAO YAMLIMA BARUA KALI JAJI MKUU,YATAKA MAJIBU KAULI YA JESHI LA POLISI KUINGIKIA MHIMILI MWINGINE!

CILAO Yamtaka Jaji Mkuu: “Linda kwa Wivu Mkuu Uhuru na Mamlaka ya Mahakama” By Ngilisho Tv-ARUSHA  Shirika lisilo la kiserikali la Center for International Law Advocacy and Outreach (CILAO), limemuandikia barua Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma, likimtaka kuchukua hatua za kulinda uhuru wa Mahakama dhidi ya kile walichokiita “kauli tata na ya…

Read More

Samatta apata pigo zito, afiwa na baba mzazi

NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagol’ kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Pazi Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia asubuhi hii ya Jumapili akiwa nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta. Kwa mujibu wa taarifa…

Read More