
MTU WA MPIRA: Kuna Bocco mmoja tu, halafu eti anaondoka!
KILA mwanadamu huzaliwa mara moja, huishi mara moja na kufariki mara moja. Iko hivyo. Ila katika kila eneo kuna mwanadamu wa kipekee. Leo nimzungumzie John Bocco ‘Adebayor’. Straika halisi wa mpira. Straika Bora wa muda wote wa Ligi yetu. Nyakati zimekwenda wapi? Majuzi Simba imetangaza kuwa Bocco hatakuwa sehemu ya kikosi chao kwa msimu ujao….