Ishu ya KenGold kuuzwa iko hivi!

KenGold iko mbioni kuuzwa kwa Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya jijini Mbeya, baada ya kuelezwa kwa sasa vigogo wa timu hiyo hawako tayari kuiendeleza, kutokana na gharama kubwa za kiuendeshaji tangu wainunue mwaka 2019. Timu hiyo imeshuka daraja msimu wa 2024-2025, kutoka Ligi Kuu Bara hadi Championship, baada ya kumaliza nafasi ya 16…

Read More

Mageuzi yalivyotengeneza faida kwa kampuni zenye hali mbaya

Dar es Salaam. Mageuzi yaliyofanyika ndani ya mashirika ya umma ikiwamo kuunganisha na kufuta mengine, imetajwa kuwa na matokeo chanya kiasi cha kuongeza gawio litakalotolewa kwa Serikali. Hadi sasa Ofisi ya Msajili wa Hazina imeshakusanya zaidi ya Sh900 bilioni huku ikitarajiwa kufikisha Sh1 trilioni kabla ya Juni 10 mwaka huu ambalo ndilo gawio litakalowasilishwa kwa…

Read More

Thamani mfuko WCF yafikia Sh748 bilioni

Dar es Salaam. Thamani ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) imefikia Sh748 bilioni kutoka Sh445.3 iliyokuwapo katika mwaka 2020/2021. Thamani ya mfuko huo inatarajiwa kufikia Sh766.6 katika mwisho wa mwaka 2024/2025 wakati ambao WCF imefanikiwa kuwalipa fidia wafanyakazi na wategemezi wao wapatao 19,650 waliopata ajali, ugonjwa au kufariki wakiwa wanatimiza majukumu ya kazi zao….

Read More

Stars yaifuata Guinea kibabe | Mwanaspoti

KIKOSI cha Taifa Stars kiliondoka nchini leo kwenda Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wa pili wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 utakaopigwa keshokutwa dhidi ya Guinea, huku kocha akiamini watafanya vizuri. Stars itaingia katika mchezo huo wa Kundi H, ikiwa na kumbukumbu ya suluhu nyumbani mbele ya…

Read More

CHAGUENI VIONGOZI WATAKAOSHIRIKIANA NA MHE. RAIS KUTATUA KERO – MHE. KATIMBA 

Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba amewataka wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa ambao watamuunga mkono kwa vitendo Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutatua kero na changamoto zinazowakabili. Mhe. Katimba ametoa wito huo kwa watanzania wote, akiwa wilayani Uvinza, mara…

Read More