DMI YASHIRIKI SIKU YA MABAHARIA DUNIANI

CHUO Cha Bahari Dar es Salaam ( DMI) kimeshiriki katika maonyesho ya siku ya mabaharia Duniani ambayo Kitaifa yanaadhimishwa katika viwanja vya Nia Njema vilivyopo katika Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Maonesho hayo yaliyoandaliwa na Wizara ya Uchukuzi yamehusisha taasisi mbalimbali za serikali na wadau wa tasnia ya bahari yameanza Leo tarehe 22-25/06/2024 na yamefunguliwa…

Read More

Kibaha na Meridianbet waendeleza ushirikiano

Meridianbet wameendelea kua na ushirikiano na wakazi waKibaha kwani leo tena wamefanikiwa kufika eneo hilo nakutoa msaada kwa wakazi wa hapo. Utamaduni huo kampuni ya Meridianbet wamekua nao miakanenda miaka rudi ambapo leo wamefanikiwa kutoa msaada kwajamii ya watu wa Kibaha kwa mara nyingine ambapo leohawakwenda Hospital, Lakini waligusa makundi mawili ya watumoja ni familia…

Read More

Vipeperushi vyatangaza mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, viongozi watua Dodoma

Dar es Salaam. Wakati vipeperushi vikisambaa kwenye mitandao ya kijamii vikieleza kuhusu mgomo wa wafanyabiasha Kariakoo kuanzia Jumatatu, Juni 24 2024, uongozi wao umewataka kuwa watulivu, ukisema tamko litatolewa siku hiyo. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Karikaoo, Martin Mbwana akizungumza na Mwananchi leo Juni 22, 2024 amekiri kuona vipeperushi hivyo, akieleza hiyo ni hasira…

Read More

Rais Samia aondoa wengine wawili Ikulu

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, kwa mara nyingine akiigusa ofisi yake. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka leo Juni 22, 2024, Rais Samia amewapangia kazi nyingine watumishi wawili waliokuwa maofisa waandamizi, Ofisi ya Rais Ikulu. Katika taarifa hiyo…

Read More

ACT-Wazalendo yatoa tahadhari mwenendo wa deni la Serikali

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiendelea kukopa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo, hali ya deni la Serikali na masuala ya mikopo yameendelea kuibua mijadala miongoni mwa jamii,  baadhi wakidai ndicho chanzo cha kodi zinazolalamikiwa. Kufuatia mwenendo wa deni la Serikali ambalo sasa linatajwa kufikia zaidi ya Sh90 trilioni, Chama cha ACT-Wazalendo kimesema bajeti…

Read More

MTU WA MPIRA: Hili la Lawi ni kituko kingine

KUNA vitu Tanzania vinachekesha sana. Ni kama hili sakata la mchezaji Lameck Lawi, Simba na Coastal Union. Ni kichekesho. Kwa mara ya kwanza nimeona duniani timu inatangaza kuwa imemnunua mchezaji fulani halafu wale waliomuuza wanakataa. Yaani, Simba inasema imemnunua Lawi kutoka Coastal Union ya Tanga. Saa chache baadaye Wagosi wa Kaya wanasema hawajamalizana na Simba….

Read More