
Askofu Gwajima ashikwa kigugumizi kisa ubunge, kushiriki vikao CCM
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amevunja ukimya kuhusu sababu ya yeye kutojitosa na kutangaza nia ili kutetea ubunge wa Kawe katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Katika mahojiano maalumu na Mwananchi leo Jumapili, Julai 27, 2025, kiongozi huyo ameeleza kinachozungumzwa hivi sasa kumhusu yeye kutoonekana kwenye…