VIJANA, WAKINA MAMA TANGA WATANGAZIWA FURSA YA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Open Innovation Organazation (TOIO) Shaukatali Hussein akiwaonyesha wanahabari ambao hawapo pichani bajaji inayotumia umeme walioyoitengeneza Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Open Innovation Organazation (TOIO) Shaukatali Hussein akikagua moja ya bajaji ambazo zinatarajiwa kuunganishwa na baadae kutengenezwa kwa ajli ya kutumia umeme Na Oscar Assenga, TANGA VIJANA na Wakima mama waliopo…

Read More

Utafiti wabaini hatari utumiaji usiofaa wa protini lishe

Dar es Salaam. Utafiti mpya umeonyesha matumizi yasiyo sahihi ya protini lishe za mazoezi, yanaweza kusababisha kuziba ghafla mishipa mikubwa ya damu ya moyo. Hayo ni kwa mujibu wa  Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Chapisho la utafiti huo lililowekwa kwenye jarida la SAGE Open Medical Case Reports la nchini Uingereza, linashabihiana na utafiti…

Read More

TBA YATOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

  MKURUGENZI wa huduma saidizi Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mathias Mhembe,akizungumza  kwenye Banda la TBA katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma. MTUMISHI kutoka Shirika Umeme Tanzania (TANESCO),Salama Kasamaru,akiupongeza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) mara baada ya kupata elimu katika banda la TBA katika maonesho ya Wiki…

Read More

JKU kupewa ndoo ya ubingwa kecho New Amaan Complex

MAAFANDE wa JKU imemaliza ubishi kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kutoka sare ya 1-1 na Kipanga, na kesho jumapili itakabidhiwa taji hilo katika sherehe zitakazoenda sambamba na mechi maalumu itakayopigwa Uwanja wa New Amaan, Unguja. JKU iliyokuwa ikiongoza msimamo wa Ligi hiyo kwa muda mrefu ilikuwa inahitaji pointi moja tu kabla…

Read More

Mahujaji zaidi ya 1,000 wafariki Makka, Bakwata yasema…

Dar es Salaam. Wakati taarifa zikitolewa kuhusu mahujaji zaidi ya 1,000 kufariki wakati wa ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia, Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Alhaj Nuhu Mruma amesema kati ya waliofariki hakuna Mtanzania. Kwa mujibu wa vyombo vya habari mbalimbali vya kimataifa,  vifo hivyo vimetokana na  joto kali lililofikia nyuzi…

Read More

Luvanga apata dili za Marekani

NYOTA wa kimataifa, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Saudia huenda msimu ujao akaibukia Marekani baada ya kuanza mazungumzo na moja ya timu za nchini humo. Ikumbukwe Clara msimu uliopita, Nassr inayomiliki pia timu ya Ligi Kuu ya Saudia kwa wanaume anayoichezea Cristiano Ronaldo ilivunja mkataba wa straika huyo na Dux Lugrono ya Hispania ikiwa…

Read More

VIDEO: Moto waua watoto watatu wa familia moja

Arusha. Watoto watatu wa familia moja wamepoteza maisha na wengine wanane kunusurika,  akiwemo mtoto mchanga wa siku tano katika ajali ya moto iliyotokea eneo la Olmatejoo jijini Arusha. Chanzo cha moto huo kinatajwa kuwa ni kompyuta mpakato  iliyokuwa imechomekwa kwenye soketi ya umeme kushika moto na kuunguza kochi na kusababisha vifo vya watoto hao. Katika…

Read More

Ukosefu takwimu halisi za watalii mwiba sekta ya utalii

Unguja. Licha ya sekta ya utalii kupiga hatua na kuchangia asilimia 30 ya Pato la Taifa, bado kuna changamoto ya kupata idadi kamili ya wageni wanaoingia Zanzibar, hivyo kuwapo mianya ya upotevu wa mapato. Hata hivyo, uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya kipekee kwa watalii ijulikanayo ‘Hakuna Matata’ itakayotolewa na TigoZantel, imetajwa kuwa sehemu ya…

Read More

WADAU WA MADINI WAPIGWA MSASA DODOMA

Tume ya Madini inaendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini na wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Dodoma kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma. Elimu inatolewa katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na fursa za uwekezaji…

Read More