
Waziri Ndejembi apokelewa kwa vilio mgogoro wa ardhi Handeni
Handeni. Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wamempokea kwa vilio Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi kwenye eneo lenye mgogoro wa viwanja uliodumu kwa zaidi ya miaka 10. Wananchi wao wamejitokeza kwenye ziara ya siku moja ya waziri huyo iliyofanyika katika halmashauri ya Mji Handeni, Februari 20, 2025…