THBUB YATHIBITISHA TUHUMA ZA UKIUKWAJI HAKI ZA BINADAMU MGODI WA NORTH MARA SIO ZA KWELI
Na Mwandishi wetu. TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini (THBUB), imebaini kuwa tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu zilizotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Mining Watch la nchini Canada dhidi ya mgodi wa dhahabu wa North Mara, wakati wa mchakato wa upanuzi wa shughuli za mgodi sio za kweli. Ripoti…