
VODACOM OPEN LUGALO 2024 KUTIMUA VUMBI JULAI
MASHINDANO makubwa ya ‘Vodacom Open Lugalo 2024’ yanatarajiwa kutimua vumbi Julai 5,6 na 7 mwaka huu katika viwanja vya Lugalo, Dar es Salaam. Akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa klabu wa hiyo, Bregedia Jenerali Mstaafu, Michael Luwongo amesema mashindano hayo yatashirikisha klabu zote nchini. Luwongo amesema wachezaji wameanza kujisajili kwa kasi kwa…