
Kampuni ya Oryx, wabunge wamtunuku tuzo maalum Rais Samia
Dodoma. Kampuni ya Gesi ya Oryx Tanzania kwa kushirikiana na wabunge wanawake, wamemtunuku tuzo maalumu, Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wake katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Tuzo hiyo imetolewa leo Jumapili Juni 9 mjini Dodoma katika siku ya gesi ya kimiminika ya petroli duniani na Spika wa Bunge. Akizungumza katika hafla…