Musonda ashindwa kuvumilia, afichua siri nzito Yanga

MSHAMBULIAJI aliyemaliza mkataba na Yanga, Keneddy Musonda ameweka bayana sababu ziliyomfanya ashindwe kufanya vizuri ndani ya kikosi hicho, akidai ni presha kubwa iliyokuwa juu yake baada ya kuondoka kwa Fiston Mayele, kisha akatoa msimamo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi. Musonda alibaki Yanga akiwa mshambuliaji tegemeo baada ya kuondoka kwa Mayele aliyetimkia Pyramids ya…

Read More

Kitendawili cha usajili wa Lawi kinabana, kinaachia

SIMBA na Coastal Union wameingia kwenye mzozo. Msimbazi wamemtangaza Beki Lameck Lawi kama mchezaji wao mpya juzi usiku. Muda mfupi badae wenzao wakajibu kwamba siyo kweli, hawatambui usajili huo kwa madai kwamba kuna makubaliano walikubaliana wakati anasaini mkataba wa awali na hayajatekelezwa. Coastal Union wamesisitiza kusitisha  biashara hiyo na wekundu hao, kwa kile ilichoeleza kukiukwa…

Read More

Chama, Aziz Ki kuna jambo linaendelea Simba, Yanga

KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba na Yanga kuhusu usajili wa Clatous Chama. Chama amemaliza mkataba na Simba mwisho wa msimu uliopita, huku mazungumzo ya kumwongezea muda zaidi ndani ya Wekundu hao yakiwa hayana mwafaka zaidi ya kuzua makundi. Lakini huko Yanga, Mwanaspoti limeambiwa mabosi wa timu hiyo wanapigwa presha na mastaa wakiongozwa na Stephanie…

Read More

JIWE LA SIKU: Mzimu wa Baleke, Saido unavyoipa presha Simba

SIMBA iko kwenye mchakato wa kutengeneza upya kikosi chake bora kitakachobeba matumaini ya kurudisha heshima ya klabu iliyolega kwa miaka mitatu sasa lakini ndani ya hilo itapambana kuzima presha ya mastaa wao wawili wa zamani walioacha rekodi ngumu. Hesabu za Simba ni kama itatema mastaa wengi wa kigeni wasiopungua saba lakini eneo ambalo litawapa presha…

Read More

Mmoja auawa kwa kupigwa risasi maandamano Kenya

Nairobi. Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Rex Kanyike amefariki dunia kwenye maandamano yanayofanywa na vijana wa Kenya kupinga mapendekezo ya nyongeza ya kodi, Jeshi la Polisi nchini humo limesema leo,  huku waandamanaji wakiitisha maandamano ya kitaifa wiki ijayo. Jeshi la polisi limesema linachunguza madai kwamba mwanaume huyo alipigwa risasi na polisi baada ya maandamano ya…

Read More