
KLABU ZA ROTARY NCHINI ZIMEENDESHA ZOEZI LA VIPIMO NA UCHUNGUZI WA KITABIBU BURE
KLABU za Rotary nchini Tanzania, kwa kushirikiana na Vilabu Vya Rotary Vya Oysterbay, Sunset, na Ukonga wameendesha zoezi la Siku ya Afya ya Familia ya Rotary (RFHD) nchini Tanzania kwa kufanya uchunguzi na vipimo vya Afya bure kwa wakazi wa Shule ya Mzambarauni Kata ya Ukonga Jijini Dar es Salaam. Kwa upande wake Mwenyekiti wa…