
WAZIRI KAIRUKI ATOA WITO KWA NCHI WANACHAMA WA AFR100 KUWEKA MIFUMO YA UFUATILIAJI KATIKA KUONGOA MISITU ILIYOHARIBIWA
Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa Kuongoa Ardhi na Misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100), kuweka mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki kuhakikisha lengo la kuongoa misitu hiyo linafikiwa kwa kuona uhalisia…