
Dk Mpango: Nikistaafu, nitaingia rasmi kwenye kilimo
Iringa. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema muda wake wa kulitumikia Taifa kupitia nafasi za uongozi unafikia mwisho na sasa anajiandaa kwenda kwenye kilimo. Tayari Dk Mpango ameshaomba kwa Rais Samia Suluhu Hassan kupumzika, naye akamkubalia na mkutano mkuu CCM wa Januari 18 na 19, 2025 ulimpitisha Katibu Mkuu wa chama hicho,…